2 Samuel 22:14-15


14 a Bwana alinguruma kutoka mbinguni,
sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika.

15 bAliipiga mishale na kutawanya adui,
umeme wa radi na kuwafukuza.
Copyright information for SwhKC